Kiwanja kinauzwa Kiseke, Mwanza
Kiwanja kinauzwa Kiko kiseke B Mwanza kina hatua 35 kwa 45 kina upimaji shirikishi Hati unashughulikia mwenyewe ni MITA 60 kutoka Barabara ya Lami Bei ml48 mazungumzo yapo ila mafupi sana tupigie 0686887297 au 0767346478