Kiwanja kinauzwa Kisima, Kilimanjaro







KIWANJA KINAUZWA NYAMANZI KIPO KARIBU NA BARABARA
#unguja #zanzibar
Umbali kutoka Kiwanja kilipo Mpaka Barabarani Mita 100
Umbali kutoka Kiwanja kilipo Mpaka Beach/Pwani Mita 800
Umbali kutoka Kiwanja kilipo Mpaka Fumba Town Mita 700
Fensi, Kisima cha maji ✅
Ukubwa wa Kiwanja Mita 42x37
Bei Tsh 90,000,0000/=
NB:Picha za Beach/Pwani ambazo zipo pamoja na picha za Kiwanja zina lengo la kukuonyesha aina ya fukwe ilivyo na haina maana kuwa hiki Kiwanja kipo baada ya Beach/Pwani. Nasisitiza; umbali wa kutoka Kiwanja kilipo mpaka Beach/Pwani ni Mita 800
What's App/Call 0653007438
#mtegemeachanduguhufamaskini
#kimfaachomtuchake
#sisiniwahadhizote