Kiwanja kinauzwa Madale, Dar Es Salaam


✅✅ KIWANJA KINAUZWA KIPO MADALE MIVUMONI
✅✅ UKUBWA NI SQM 1076
✅✅ KIWANJA KIMEPIMWA KINA HATI MILIKI
✅✅ BEI NI 70M MAONGEZI YAPO
✅✅ KM 1 UNAFIKA LAMI
✅✅KIWANJA NI KIZURI SANA KUANZIA MTAA, MAJIRANI , BARABARA
✅✅UMEME NA MAJI VIPO
✅✅✅ TUPIGIE SIMU 0676344463