Kiwanja kinauzwa Madale, Dar Es Salaam


Nyumba mpya kali sana inauzwa: Vyumba vi 3 kimoja masta Dirning sitting jiko public toilet bafu na maji dawasco Full A/C public toilet ya nje na stoo Eneo-sqm 800 Kimepimwa Hati bado Bei-ml 220 maongez Location- madale kwa kawawa Umbali-km 1.5 kutoka main road madale shelaton Karibuni
Contact
0625584914