Kiwanja kinauzwa Madale, Dar Es Salaam


NYUMBA YA KISASA BEI YA DHARULA, TSHS.70 MILIONI, TEGETA MADALE.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 500.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Hii ni nyumba ya KUHAMIA.
Ujenzi bora, Imara na wa kisasa.
Sasa wewe Chelewa uje ujute.
____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000
(Unalipa wewe Mnunuzi)
Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255714591548
____________tb
Ukihitaji kuikagua taarifa mapema tafadhali.