Kiwanja kinauzwa Madale, Dar Es Salaam


NYUMBA NZURI INAUZWA BINAFSI
Bei milioni 120 maongezi yapo
IPO MADALE FLAMINGO - Dar es salaam - Tanzania
▫Ina Vyumba Vitatu vya Kulala kimoja self
▫Sitting room
▫Dinning room
◇ Kitchen
◇Store
▫ Public toilet
▫Ukubwa wa kiwanja: sqmt 800
◇document clean TITLE DEED ( Hati miliki kutoka wizara ya aridhi)
◇maji safi dawasco umeme vyote vipo
Service charge elf 30
Tupigie 0746 433 854