Kiwanja kinauzwa Madale, Dar Es Salaam


NYUMBA INAUZWA: Location madale
Vyumba 3,/ master 1
Sitting room, dining, kitchen, store and public toilet,
Nyumba ya kisasa nzuri sana inauwanja wakutosha.
Sqm 850.
Umeme, maji, Na Ac vipo.
Hati miliki ipo
Kutoka lami kiromita1
BEI:million 150 (mazungumzo yapo)
Gharam za kupelekwa site:30000
Kwa mawasiliano zaid:📞#0764624285