Kiwanja kinauzwa Madale, Dar Es Salaam


OFAAA!!! OFAAA!!! ZINAENDELEA
-------------
HILI PAGALE LIPO MADALE MIVUMONI
___________
LINA VYUMBA VITATU VYOTE MASTER SEBULE KUBWA
JIKO
CHOO MASHIMO YA MAJI TAKA TEYARI
----------------
MAJI DAWASA YAPO UMEME UMEFIKA
-----------
CHAKUSHANGAZA NYUMBA INA HATI MILIKI SAFI KUTOKA WIZARA YA ARDHI
UKUBWA WA KIWANJA NI SQM 400
___________________
LIPO MITA CHACHE KUTOKA LAMI NA MTAA UMEPANGIKA VIZURI HAKUNA USWAHILI
------------------
KARIBU UJIOKOTEE NYUMBA YENYE HATI MILIKI UKAKOPEE UMALIZIE UJENZI 🫡
EPUKA CHENI BEI NI MILION 39.9 NJOO TUMALIZE BIASHARA
---------------
NA KAMVUA HAKA NDIYO MUDA SASA WA KUJA SITE
KUONYESHWA SITE 30,000/=
What saapp number ⬅️ 0689-547258