Kiwanja kinauzwa Magomeni, Dar Es Salaam


#KIWANJA KINA NYUMBA KINAUZWA MAGOMENI MWEMBECHAI
KIWANJA KINA UKUBWA SQMT 582
KIWANJA KIMEPIMWA NA KINA HATI MILIKI KUTOKA WIZARANI[TITLE DEED IPO]
KIWANJA NI CHA PILI KUTOKA LAMI
KIWANJA KINAFAA KUJENGA HOTEL AU APARTMENTS N.K
BEI NI MILIONI 400 TU #MAONGEZI YAPO KIDOGO MNOO
KIWANJA KIMEZUNGUSHIWA FENSI CHOTE NA KINA GETI KABISA
SERVICE CHARGE NI TZS 50,000/=
__
#0714335450
#0714335450