Kiwanja kinauzwa Mapinga, Pwani


nyumba inauzwa ipo mapinga nyumba nzuli sana bei kitonanga million 120 maongezi yapo ukubwa wa eneo sgm 600 nyumba ni ya kisasa ina vyumba vitatu vya kulala sebule dainingi jiko chumba kimoja master bedroom kwenda
Kukagua nyumba tunachaji 30000
Piga sim 0715422099
0746218111
0784422099