Kiwanja kinauzwa Mawasiliano, Morogoro


KIWANJA KIZURI SANA KINA UZWA
KIWANJA KINA UKUBWA WA SQM940
_____
UMBALI KUTOKA KIWANJA KILIPO MPAKA LAMI NI MITER 100 TU
_____
KIWANJA KIZURI SANA BOSS KWA@MATUMIZI YOYOT AMBAYO UNAHITAJI
____
KIWANJA KIPO ILAZO NORTH OP NA SWASWA MNALANI
_____
KWA SH ML 45 TU NAKUPATIA HIKI KIWANJA
KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANE APO JUU