Kiwanja kinauzwa Mawasiliano, Morogoro


KIWANJA KIKUBWA KIPO NDANI YA FENSI KINAUZWA MPAMAA JIJINI DODOMA
Mahali; Mpamaa
Eneo ukubwa; 2,000 sq.m
Sifa; Kipo ndani ya fensi
Kina banda la kufugia kuku 3,000
Kina fensi ya kisasa
Maji/Umeme upo
Bei; 65,000,000/= ( mililioni sitini na tano tu)
Mawasiliano;
Call # 0713 338141
WhatsApp # 0655 494700
Follow;
housing_real_estate_dodoma
housing_real_estate_dodoma
"MAISHA NI KIWANJA NA NYUMBA"