Kiwanja kinauzwa Mawasiliano, Morogoro
KIWANJA CHA PILI LAMI KINAUZWA ILAZO DARAJA DOGO JIJINI DODOMA
Eneo ukubwa ni 668 sq.m
Cha pili lami
Eneo limejengeka
Maji/Umeme upo
Kipo sehemu nzuri
Kina HATI
BEI ni Tshs.48,000,000/= ( milioni arobaini na nane tu)
Mawasiliano;
Call # 0713 338141
WhatsApp # 0655 494700
Follow;
housing_real_estate_dodoma
housing_real_estate_dodoma
"MAISHA NI KIWANJA NA NYUMBA"