Kiwanja kinauzwa Mawasiliano, Morogoro


KIWANJA KINA FENSI PANDE ZOTE CHA PILI BARABARA YA MITA 30 KINAUZWA MAKULU OSTERBAY JIJINI DODOMA
Eneo ukubwa nk 658 sq.m
Kina HATI
Cha pili barabara ya mita 30
Maji/Umeme upo
Eneo limejengeka
Kipo sehemu nzuri
Bei ni Tshs. 45,000,000/= ( milioni arobaini na tano tu)
Mawasiliano;
Call # 0713 338141
WhatsApp # 0655 494700
Follow;
housing_real_estate_dodoma
housing_real_estate_dodoma
"MAISHA NI KIWANJA NA NYUMBA"