Kiwanja kinauzwa Mawasiliano, Morogoro


KIWANJA KIKUBWA,KIZURI KINAUZWA KWA MATHIAS,USHUANI,KIDENGE STREET.
Kama unaitaka hii Plot piga SIMU: 0659 972 868
Taarifa kuhusu Kiwanja
Ukubwa wake: 1122m²
Maji yapo pembeni Mwa KIWANJA
Umeme pia.
Majirani wapo kibao!
Mtaa mzuri wa kishua!
Bei Kwa square meter 27,500/= instalment miezi Minne na CASH 25,000/=
MAWASILIANO
0659 972 868
0759 461 893