Kiwanja kinauzwa Mawasiliano, Morogoro


NYUMBA INAUZWA
IKO TEGETA BASIHAYA
BEI NI MIL 160 tshs maongezi kidogo
Ni nyumba ya Vyumba vitatu vya kulala, Sebule, jiko pamoja na dinning, Nyuma kuna nyumba mbili za chumba sebule na choo, Ukubwa wa kiwanja ni sqmt 900.
MAWASILIANO ZAIDI
dalalimbezibeachtz
0688830099
AU
0655708320 WhatsApp