Kiwanja kinauzwa Mbagala, Dar Es Salaam
NYUMBA ZIPO 2 ZINAUZWA MBAGALA MAJI MATITU MIL 95,000,000/=
UKUBWA WA ENEO SQM 600
NYUMBA KUBWA INA VYUMBA 4 VYA KULALA VYUMBA 2 NI MASTER BEDROOM DINNING ROOM PUBLIC TOILET JIKO NA SITTING ROOM
HII NDOGO INA VYUMBA 3 VYA KULALA CHUMBA MASTER BEDROOM NK
INA DOCUMENT YA SERIKALI YA MTAA
UMEME UPO MAJI YAPO NA HUDUMA ZOTE ZA KIJAMII ZINAPATIKANA JIRANI SANA
KWA MHITAJI SILIASI NJOO UKAGUE NYUMBA TUFANYE BIASHARA
GHARAMA YA KWENDA KUANGALIA NYUMBA NI 20,000/= TU