Kiwanja kinauzwa Mbezi, Dar Es Salaam


KIWANJA KINAUZWA BINAFSI
KIPO MBEZI RUGULUNI KWEMBE, NYUMA YA MANISPAA YA UBUNGO
KIWANJA KATI KUNA PAGALE KUUBWA LAKINI BOVU NI LA KUVUNJA
UKUBWA SQM 900
BEI MIL 14 TU
BEI HIYO NI SAWA NA BURE TU KULINGANA NA SEHEMU LILIPO MAJIRANI NK NI LA KUWAHI
UMILIKI MKATABA WA MAUZIANO SERIKALI YA MTAA
PAMEPIMWA HATI ITATOKA KWA JINA LAKO MTEJA
UMBALI KM 3 KUTOKA MOROGORO ROAD
BODA 1000 BAJAJI 800
MAJI UMEME VIPO ...
SERVICE CHARGE ELF 30
KARIBU SANA MTEJA
What saapp number ⬅️ 0689-547258