Kiwanja kinauzwa Mbezi, Dar Es Salaam


NYUMBA NZURI SANA INAUZWA
IPO MBEZI MWISHO MSAKUZI
Bei TSH Million 160 Maongezi Yapo
Ukubwa Wa Eneo: SQM 800
Umiliki: Hati Miliki (TITLE DEED)
Ina Vyumba Vitatu (3) vya kulala
Chumba Kimoja Master
Dinning room
Sitting room
Kitchen
Public Toilet
Pia Kuna Servant Quarter Ya Vyumba Vitatu (3) vya kulala
chumba kimoja Master
Dinning room
Sitting room
Kitchen
Public Toilet
Garage Ya Kulaza Magari Mawili Yenye Gate Lake
Full Electronic Fanced
Stand-by Solar Power backup System
Kuna Mfumo Wa Kuvuna Maji Ya Mvua Tank Kubwa Unaweza Kujaza Maji Ya Kutumia Mwaka Mzima
Automatic Water Pump Ya Ku Supply Maji Nyumba Nzima
Nyumba Ipo Mtaa Mzuri Eneo Kubwa Yenye Garden Nzuri Sana
Gharama Za Kwenda Site Ni Tshs 20,000/=
PIGA SIMU
0719969102
0714903124