Kiwanja kinauzwa Mbezi, Dar Es Salaam
KIWANJA SQM.499, TSHS.14 MILIONI, MBEZI MWISHO.
Hiki Kiwanja kipo Mtaa wa MUHIMBILI, MBEZI MWISHO/MOROGORO ROAD.
Ni umbali wa kilomita 1 tu kutoka Barabara ya GOBA/MBEZI.
Mtaa umejengeka vizuri,
Huduma za kijamii kama umeme na Maji zipo jirani na panafikika kiurahisi.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
__________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255714591548
_________mpg
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.