Kiwanja kinauzwa Mbezi, Dar Es Salaam


Bado tunaendelea wadau wa chalinze bado vipo vya kumwaga yani fanya yote ila safari hii usikose🔥🔥
Sqm 1 Tsh.2,000 tu
Sqm 450 Tsh.900,000 tu
Malipo ya mwezi ni Tsh.75,000
Malipo miezi 12
Utakapo fikisha 75% ya malipo yako tu basi mchakato wa hati unaanza,uhakika wa kupata hati ni 100%
Kwa sababu, #KIWANJA NI HATI
Nauli ni Tsh.12,000 kwenda na kurudi,safari itaanzia mbezi mwisho. Usipange kukosa kabisaa
Weka booking ya safari mapema ili kuweza kwenda kuona.
Maelezo zaidi tupigie No
☎️ 0699543621
Ofisi zetu zinapatikana Mwananyamala