Kiwanja kinauzwa Mbezi, Dar Es Salaam


NYUMBA YENYE HATI NA-YAKUHAMIA, TSHS.100 MILIONI, MBEZI/KIMARA SUCA.
Ipo wastanj wa kikomita 3 tu kutoka Barabara ya Morogoro
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 750.
Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara.
Ina vyumba vinne (4) vya kulala, Viwili (2) Vyoo ndani.
Pia na Sebule,Jiko,Dining-room,Store na Choo cha Familia ndani.
Bei hii ni ya dharula hivyo USIFANYE KOSA UKACHELEWA.
____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe Mnunuzi)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255714591548
_____________LmMw
Mtaa tulivu na uliijengeka hasa.
Panafikika vizuri na kuna Parking ya kutosha,
AC
Ukihitaji kuikagua taarifa mapema tafadhali.