Kiwanja kinauzwa Mbezi, Dar Es Salaam


Eneo linauzwa "Ushuani". Square mita 1000 Miguu (30 kwa 35)
Lipo Mbezi Louis, Goba Road kituo cha Robert Mageti.
Eneo lipo mita 600 kutoka barabara ya rami, limepimwa na lina hati.
Gharama: Tsh 38 milioni, maongezi yapo
WhatsApp: 0718 143834
Call/Tex: 0684562349