Kiwanja kinauzwa Mbezi, Dar Es Salaam


NYUMBA INAUZWA MBEZI mwisho
👉Makabe
INA VYUMBA VITATU VYA KULALA KIMOJA MASTER SEBULE KUBWA NA JIKO NA CHOO CHA PUBRIC
UKUBWA WA ENEO NI SQUARE MITRE 400
NYUMBA IPO MBEZI MAKABE KWA PAULO UMBALI WA KUTOKA STAND YA MWENDOKASI MBEZI MWISHO NI KILOMITA TANO
BEI NI TSH MILIONI 80. MAONGEZI YAPO
UMILIKI NI HATI YA MAUZIANO YA SERIKALI ZA MITAA
KUPELEKWA KUKAGUA SITE NI TSH 30.000/
📞0656471973