Kiwanja kinauzwa Mbezi, Dar Es Salaam


KIWANJA 💥 KIWANJA 💥
KIWANJA HIKI KIZURI SANA KINAUZWA NA KIPO SEHEMU NZURI SANA BEI NI MILIONI 13 MAONGEZI KIDOGO YAPO NDUGU MTEJA
🌟 KIWANJA HIKI KINA SIFA ZIFUATAZO
#KIPO MTAA MZURI SANA
#KIPO JIRANI NA BARABARA
#KINAFAA KUJENGA NYUMBA ZA MAKAZI AU BIASHARA
#HUDUMA ZOTE ZA KIJAMII ZIPO UMEME,MAJI DAWASA, DHAHANATI NK
KIWANJA HIKI KINA UKUBWA WA METERS 30/20
BEI NI MILIONI 13 MAONGEZI KIDOGO YAPO
💫💫 KIWANJA HIKI KIPO MBEZI YA KIMARA NJIA YA KUELEKEA MPIGI MAGOHE KITUO MACHIMBO NA KUTOKA KITUO CHA MACHIMBO HADI KWENYE KIWANJA NI DK 6 TUU KWA MIGUU
KUONESHWA KIWANJA HIKI GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 30
Contact us:-
0716223412
0683597453