Kiwanja kinauzwa Mbezi, Dar Es Salaam


KIWANJA KIZURI SANA KINAUZWA
kipo mbezi kwa msuguri dar
Ukubwa mita 30 kwa 25
Kimepimwa Hati ikitoka kwa jina lako mteja
Kiwanja kiko mtaa mzuri sana
Wenye utulivu
Wenye hewa nzur
Barabara nzur
PANA FAA KUJENGA MAKAZI AU APARTMENT
BE TSH MILION 27 MAONGEZI YAPO
Service charge elf 30
Tupigie simu kwa maelezo zaidi
0652912222
0782414315