Kiwanja kinauzwa Mbezi, Dar Es Salaam


🗯️ZINAUZWAA / FOR SALE
📍 Mbezi Kibanda Cha Mkaa
_____________
___
#Zinauzwa Apartment zote mbili kwapamoja Na zote Zinawapangaji
#Kila Moja Ina Vyumba 2 vya kulala (Kimoja Master), Sebule, Jiko & Public Toilet
* Kila Apartament inapangishwa 300k kwa mwezi
* Kila Apartament inajitegemea UMEME na MAJI
#Umiliki: Hati Miliki (TITLE DEED)
* Ukubwa Wa Eneo: SQM 2987
#Umbali: Dakika Kumi (10) Kutoka Morogoro Road Kwa Miguu
Bei : 200,000,000/= (milion 200), maongezi yapo kidogo
_____________
#Gharama Za Kwenda Site Ni Tshs 30,000/=
#0753-172-516