Kiwanja kinauzwa Mbezi, Dar Es Salaam
NYUMBA ZA KUPANGISHA (APARTMENT) ZINAUZWA ZOTE MBILI NDANI YA ENEO MOJA MBEZI KIBANDA CHA MKAA (DAR ES SALAM)
Kila Moja Ina Vyumba Viwil Kimoja Master,Sitting, Kitchen&Public Toilet
Umiliki: Hati Miliki (TITLE DEED)
Ukubwa Wa Eneo: SQM 2987
Umbali: Dakika Kumi (10) Kutoka Morogoro Road Kwa Miguu
Kila Apartment Moja Ina Pangisha Laki Tatu (300k) Kwa Mwezi Na Zote Zina Wapangaji
Nyumba Kila Mpangaji Ana Jitegemea Maji Na Umeme Wake
Bei : 200 Million (Maongezi Yapo)
Gharama Za Kwenda Site Ni Tshs 30,000/=