Kiwanja kinauzwa Mbezi, Dar Es Salaam


Nyumba inauzwa mbezi malamba mawili inavyumba vitatu vote master sebule jiko dinning public toilet Ukubwa wa ENEO SQM 300 document sales agreement hat ya mauziano ya selikali za mitaa maji safi umeme vyote vipo nyumba ipo mtaa mzuri san majirani wamepangika vyema San Bei million 50 maongezi yapo
Call 0746 433 854