Kiwanja kinauzwa Mbweni, Dar Es Salaam


Kipo mbweni mpiji kinondoni.
Bei ni 65ml maongezi yapo usiogope bei boss wetu njoo mezani tuongee.
Ukubwa ni sqm 641.
Nyalaka ni hati ya wizara ya ardhi.
Umeme na maji vipo.
Umbali kutoka lami ni mt 200 tu.
Gharama ya ukaguzi itahitajika kutoka kwako boss wetu.
0688193153
0655677213