Kiwanja kinauzwa Mbweni, Kinondoni, Dar Es Salaam


Kiwanja Kinauzwa Tsh 4.5 Bn (Negotiable) Mahali: Boko Magengeni - Njia Ya Mbweni Mkoa: Dar Es Salaam Wilaya: Kinondoni Ukubwa: Heka 16.1 (16.1 Acres) Umiliki: Hati Umbali Kutoka Barabara Ya Lami Meter 0.0 Ndani Ya Kiwanja: 1. Kiwanda Au Godown Kubwa 2. Nyumba Ziko 3 Zenye Vyumba 4 Master, Jiko, Sebre Na Nyingine 6 Nyumba Ila Hazijamalizwa Ukarabati Mdogo Wa Ndani 3. Fremu Zipo 6 4. Uwanja Wa Kutosha Kati, Pembeni Kote