Kiwanja kinauzwa Mikocheni, Dar Es Salaam


Ipo kwa mawaziri mikocheni . Gorofa 1 ground floor Ina vyumba 4 Floor ya kwanza Ina vyumba 6 na sevant courter ina vyumba 2 Eneo sqm 1256. Bei dola laki 5.5 maongezi. Usd 550,000$ NYUMBA IPO KWENYE UKARABATI.