Kiwanja kinauzwa Mjini, Ruvuma


Kiwanja kizuri kinaunzaa eneo la kikuyu Extansoni karibu kabisa na SGR STATION DODOMA
Ukubwa wa kiwanja Sqm 951
Bei ya kiwanja 38m
Umbali wa kutoka mjini ni km 7
Umbali wa kutoka SGR STATION DODOMA 700 tuu
Matumizi ya eneo kiwanja ni makazi na BIASHARA
Uduma muhimu kama
MAJI ๐
UMENE ๐
BARABARA ๐
WEKEZA BIASHARA YAKO AU MAKAZI YAKO HAPA ๐๐ป