Kiwanja kinauzwa Mkolani, Mwanza


MKOLANI MWANZA KIWANJA KINAUZWA
SIFA ZAKE
KIWANJA CHA PILI TOKA KWENYE RAMI
KIMEZUNGUSHIWA FENSI
KINA HATI MILIKI
UKUBWA WAKE SQM 665
KUNA MAJI NA UMEME
BEI MIL 75
0767241001
NB
PANAFAA KUJENGA APARTMENT,LODGE,NYUMBA YA KUISHI nk