Kiwanja kinauzwa Mkonze, Dodoma


KIWANJA KINAUZWA MKONZE DODOMA
๐9km kutoka mjini na 1km kutoka lami ya iringa road.
๐Kipo mtaa wa chinyika, kina ukubwa wa 1033sqm (robo ekari) na kuna document za upimaji.
๐Bei ni milioni 12
Ni kiwanja kikubwa sana.
Kuna Huduma za kijamii