Kiwanja kinauzwa Moshono, Arusha


Miliki KIWANJA jijini ARUSHA.
KIWANJA KINAUZWA.
MOSHONO LAIZER.
725 SQM / MITA 30 Kwa 25
Bei 35m
HUDUMA ZOTE ZA MUHIMU ZIPO.
#KIWANJA kina HATI ya SERIKALI ya mitaa.
#Kina MAJI na UMEME
#KIWANJA KINA FENSI UPANDE MMOJA.
#KIWANJA KIMESHIKANA NA BARABARA YA MTAA.
#KIWANJA KINAFAA MATUMIZI YA BIASHARA NA MAKAZI.
#KIWANJA KIPO KARIBU NA FunRetreat.
Kwa mawasiliano na Taarifa zaidi 0765899772 0627779772