Kiwanja kinauzwa Mtumba, Dodoma


KIWANJA KIKUBWA KIPO JIRANI NA LAMI ( Dsm/Moro road) KINAUZWA MTUMBA JIJINI DODOMA
Mahali; Mtumba
Eneo ukubwa; 1,461 sq.m
Sifa; Kina HATI
Eneo limejengeka
Maji/Umeme upo
Kipo pembeni ya MTUMBA SECONDARY
Bei; 25,000,000/= ( milioni ishirini na tano tu)
Mawasiliano;
Call # 0713 338141
WhatsApp # 0655 494700
Follow;
housing_real_estate_dodoma
housing_real_estate_dodoma
"MAISHA NI KIWANJA NA NYUMBA"