Kiwanja kinauzwa Mtumba, Dodoma
KIWANJA KIZURI SANA KINAUZWA MTUMBA BLOCK DA JIJINI DODOMA
Eneo ukubwa ni 700 sq.m
Eneo limejengeka
Maji/Umeme upo
Kinafaa kwa MAKAZI au UWEKEZAJI
Bei ni Tshs. 12,000,000/= ( milioni kumi na mbili tu)
Mawasiliano;
Call # 0713 338141
WhatsApp # 0655 494700
Follow;
housing_real_estate_dodoma
housing_real_estate_dodoma
"MAISHA NK NI KIWANJA NA NYUMBA"