Kiwanja kinauzwa Mtumba, Dodoma


KIWANJA KINAUZWA MTUMBA KARIBU NA WIZARA JIJINI DODOMA
Eneo ukubwa ni 12,570 sq.m
Kina HATI
Heka NNE kasoro
Kipo kilometres nne toka LAMI
Kinafaa kwa UWEKEZAJI au MAKAZI
BEI ni Tshs. 60,000,000/= ( milioni sitini tu)
Mawasiliano;
Call # 0713 338141
WhatsApp # 0655 494700
Follow;
housing_real_estate_dodoma
housing_real_estate_dodoma
"MAISHA NI KIWANJA NA NYUMBA"