Kiwanja kinauzwa Mwananyamala, Dar Es Salaam


Kesho site mabosi zangu π₯π₯
Nauli ni Tsh.12,000 tu kwenda na kurudi
Chalinze-Pingo
Bei ya sqm 1 ni Tsh.2,000 tu
Kiwanja cha sqm 400 (20*20) ni Tsh.800,000 tu
Mradi upo km 4 tu kutoka main road
Malipo miezi 12
Mashambani
Bei ya Ekari I ni Tsh.1,500,000
Malipo ya mwezi ni Tsh.100,000 tu
Malipo ni miezi 15
Nb: weka booking ya safari mapema ili uweze kufika kwenye mradi wetu na ukafaidikie kupitia Ardhi
Utakayoinunua kutoka kwetu na sisi tunakuhakikishia upatikanaji wa Hati ni 100%
Tupigie No. βοΈ 0 699 543 621
Ofisi zetu zinapatikana Mwananyamala