Kiwanja kinauzwa Mwananyamala, Dar Es Salaam


Chalinze pingo bado inazidi kupamba moto๐ฅ๐ฅ๐ฅ
Jumamosi ya wiki hii kwa yeyote anaehitaji kiwanja fursa ni sasa,twenzetu site ukajione mradi huu na ukipendezwa nao
Unakaribishwa ofisini kwaajili ya kuendelea na process za malipo pamoja na kujaza mkataba wenye muhuri wa mwanasheria.
Mradi huu upo CHALINZE (pingo)
-Km 4 tu kutoka morogoro road
-Bei ya sqm 1 ni Tsh.2,000 tu
Mradi huu upo nyuma ya kiwanda cha Tiles cha (Twyford)
-Mradi umepimwa na Ramani ziko Approved kutoka wizarani na kila eneo lina bikon
-Upatikanaji wa hati ni 100% na ni Hati ya wizara
Maelezo zaidi tupigie simu No.
โ๏ธ 0699 543 621
Ofisi zetu zinapatikana Mwananyamala