Kiwanja kinauzwa Mwananyamala, Dar Es Salaam


NYUMBA NZURI YA KISASA INAUZWA MWANANYAMALA (HOUSE ON SALE)
AGENT: KINGDOM PROPERTIES GROUP LIMITED
DATE LISTED: 12/06/2024
HOUSE LOCATION: MWANANYAMALA
PLOT SIZE: 468 SQM
PRICE: 300 Million (MAONGEZI YAPO/NEGOTIABLE)
HOUSE DETAILS
*Nyumba inagusa lami ya Mwinyijuma
-Nyumba ina vyumba vya wapangaji na mbele kuna fremu 2 za biashara.
-Nyumba ni ya kuvunja na kujenga upya.
-Eneo linafaa kwa maduka ya kisasa ya biashara, Apartment pamoja na makazi ya kuishi.
-Document:Leseni ya Makazi
MUHIMU
Bei ya nyumba ni ndogo kulinganisha na thamani ya nyumba kwahyo mteja atakayewahi ndio atauziwa
Site visite : 50000/=
CONTACTS
Office: Bunju A
Mobile: 0683702330/ 065 715 9979
Email: kingdompropertiesgrouplimited@gmail.com