Kiwanja kinauzwa Nala, Dodoma
KIWANJA KINAUZWA NALA CHIGONGWE BLOCK DG JIJINI DODOMA
Eneo ukubwa ni 977 sq.m
Kipo kilometre moja na nusu toka lami/Singida Road
Corner plot
Miundombinu ipo
Huduma za kijamii zipo
Kikubwa
Kipo sehemu nzuri
Bei ni Tshs. 3,500,000/= ( milioni tatu na laki tano tu)
Mawasiliano;
Call # 0713 338141
WhatsApp # 0655 494700
Follow;
housing_real_eatate_dodoma
housing_real_estate_dodoma
"MAISHA NI KIWANJA NA NYUMBA"