Kiwanja kinauzwa Nkuhungu, Dodoma
NAUZA HICHI KIWANJA CHAPILI KITOKA LAMI DODOMA
——————————————————————————————-
_ MTAA KILIPO KIWANJA CHETU NI NKUHUNGU
_KIWANJA KINA UKUBWA WA SQUARE MITER 450
_KIWANJA KINA NYARAKA ZOTE HALALI ZA UMILIKI
_KIWANJA NI CHAPILI KUTOKA BARABARA KUU YA LAMI
_KIWANJA KINA FENSI PANDE MBILI KULIA NA KUSHOTO
_ BEI 28M
___________________
_ PIGA 0744783149 / WHATSAPP
_ WOTE MNAKARIBISHWA WAHI SASA TUWEKEZE DODM