Kiwanja kinauzwa Nkuhungu, Dodoma


NYUMBA INAUZWA
MAHALI NKUHUNGU
JILAN NA SHULE YA ISILAHI
Uelekeo wa Mnada mpyaa
Main Road ya Singida.
Au Nkuhungu Boda chini
Umbali mpaka Dodoma mjin n kilometer 8
=========
NYUMBA ILIVYO:
=========
✓ Ina vyumba Vinne vya Kulala kmoja ni masterBedroom
⚡️Vyumba vyote vina Makabati
⚡️Fen ndan kote.
✓sebule Kubwa
📍Ina ShowCase.
⚡️JIKO zurii Kubwa Lenye MAKABATI. ⚡️stoo yenye Shelf.
na choo Cha public
Kina Maji moto (heater)
✓umeme na maji unajitegemea
✓Karibu na usafiri.
✓Parking kubwa,
Mazingira mazuri.
#PavingBlocks uwanjan kotee
Hakuna vumbi wala tope.
#Electical Fens wire.
NOTE.
NYUMA KUNA SERVANT 2.
KIla moja Ina
⚡️Chumba master seble na jiko
Ukubwa wa eneo SQM 700
Clean Documents
HATI.
Hakuna mgogolo.
____________
MALIPO:
==========
👉BEI MILLION 90