Kiwanja kinauzwa Nyanguge, Mwanza


Nyanguge, Magu, Mwanza
2 days ago
Sh. 78,000,000
BEACH PLOT INAUZWA NYANGUGE
-eneo ni la kwanza kutoka ziwani
-ukubwa wa eneo ni heka mbili (2)
-eneo linafaa kwa makazi, biashara
-bei Milioni 78 ( mazungumzo yapo)
NB:-
-Kuna beach plot ya heka 25 imeanzia ziwani inauzwa yenyewe ipo nyanguge karibu na bugando beach
-Njoo na surveyor ( mpimaji ) kuhakiki eneo
☎️ 0743220097