Kiwanja kinauzwa Nyasaka, Mwanza


🗣️ KIWANJA KINAUZWA 🌴
📍KIPO NYASAKA BLESSING
• Kiwanja Kimepimwa (KINA HATI MILIKI)
• Barabara inapitika vzr hadi kwenye kiwanja
• Panafaa kujenga apartment au nyumba ya kuishi
• Ukubwa ni 20X30 = SQM 600
BEI: MILIONI 17 Tu
Piga simu kwa maelezo zaidi: 0765430905


















