Kiwanja kinauzwa Pera, Pwani







Pera, Bagamoyo, Pwani
2 days ago
Sh. 700,000,000
Eneo linauzwa chalinze pera eneo liko barabarani kabisa
Ukubwa wa eneo 5.2 acres
Pana majengo ya hotel
Matumizi ya ardhi ni hotel
Bei 700m
Pamepimwa bado hati wizarani. eneo liko barabarani kabisa kwa mawasiliano 0617129604