Kiwanja kinauzwa Reli, Mtwara


Kiwanja 980sqm Mzambarauni β Fursa Pekee!
π Ukubwa wa Kiwanja:
β 980 Sqm
π Mahali:
β Karibu na kituo cha Mwendokasi Mzambarauni
β Jirani na reli ya SGR
β Sambamba na Makao Makuu ya FFU
π Ulinzi:
β Ulinzi wa uhakika muda wote
π° Bei:
TSh 110,000,000 (mazungumzo yapo kwa mnunuzi makini)
π Mawasiliano: 0788 958 441
__
#forsale #ukonga #mzambarauni #plot


















