Kiwanja kinauzwa Tabata, Dar Es Salaam


Kiwanja chenye Nyumba kinauzwa sh milion 95 eneo limepimwa na lina hati miliki ya wizara, document zote zipo, ukubwa ni Square meter 990 hapa kuna barabara ya mtaa, pia tayari kiwanja kina fensi pande mbili, hapa unaweza kujenga apartments, hotel, nyumba ya makazi, fremu, n.k, location tabata kinyerezi dar es salaam Tanzania,
Muhitaji piga sim
Calls/Whatsapp 0653233641
0768682919
Note 📝
#Ghalama kupelekwa kuonyeshwa kiwanja sh 30000
#Bila kusahau %10 dalali mchina
Follow me Dalali mchina tabata kinyerezi Facebook, Instagram & tik tok, napatikana tabata kinyerezi mbuyuni dar es salaam Tanzania